HATIMAYE IBRAH THE DON APITA KWENYE INTERVIEW HUKO DAKAR
Ibrah the don amesema ya kwamba anafuraha sana kwani ajategemea kwa sababu watu walikuwa wengi sana kutoka nchi mbalimbali ivyo akuwa na matumaini ya kupita ila anamshukuru mungu kwa kuwa yeye ni mmoja ya msaada wake katika yale mashindano licha ya kipaji alichonacho.

hongera sana
JibuFuta