Jumapili, 22 Septemba 2013

HATIMAYE IBRAH THE DON APITA KWENYE INTERVIEW HUKO DAKAR
 
Kijana ibrah the don apata furahaa baada ya kupokea sim ya ushindi aliyoshinda kwenye interview yake ya kamera man bora huko nnchini Dakar Senegal.
  Ibrah the don amesema ya kwamba anafuraha sana kwani ajategemea kwa sababu watu walikuwa wengi sana kutoka nchi mbalimbali ivyo akuwa na matumaini ya kupita ila anamshukuru mungu kwa kuwa yeye ni mmoja ya msaada wake katika yale mashindano licha ya kipaji alichonacho.

Maoni 1 :